Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
Hivi leo kunani lakini…?! From midnight until now hatupati umeme wa uhakika. What’s PROBLEM katika shirika la umeme Tanzania (TANESCO) na this issue ni Dar es Salaam tu au kwa taifa lote? 😩
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma...
Mwaka 2024 mwezi wa tano katika kijiji cha Mwendokasi, Kuna dokta mmoja anatokea kwenye chumba cha leba huyu anaitwa “dokta Steve”. Kwa mbele tunamuona mzee mmoja anakuja kwa haraka huku akiwa na...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma.
----
ALIYEKUWA mbunge wa zamani...
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji.
Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, mkikutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.