Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
3 Reactions
31 Replies
328 Views
Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
3 Reactions
13 Replies
53 Views
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU. Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
18 Reactions
63 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
24 Reactions
82 Replies
2K Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
202 Replies
9K Views
Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2...
1 Reactions
6 Replies
31 Views
Mpango wa Yanga ni kuwakutanisha wote wawili Chama na Dude msimu ujao. Je,watafanikiwa kuwachezesha wote ndani ya Club moja?
2 Reactions
4 Replies
83 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,619
Posts
49,551,512
Members
667,554
Latest member
jhobby
Back
Top Bottom