Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
17 Reactions
211 Replies
1K Views
Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5. Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado...
2 Reactions
26 Replies
339 Views
Salaam mwana jf Dkt. Gwajima D ! Kuna ujumbe inbox, naomba kuwasilisha.
2 Reactions
29 Replies
637 Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
3 Reactions
33 Replies
285 Views
Yani ni minyuko tu ya Ban.. Oya.. lipeni watu mishahara.
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi. Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu...
9 Reactions
102 Replies
2K Views
Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
2 Reactions
25 Replies
625 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake...
11 Reactions
71 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,316
Posts
49,570,267
Members
667,863
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom