Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
146 Replies
4K Views
Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh...
27 Reactions
126 Replies
11K Views
Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani...
0 Reactions
63 Replies
770 Views
Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito. ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka...
1 Reactions
2 Replies
13 Views
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer. Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
7 Reactions
24 Replies
709 Views
Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfano wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA IFM...
0 Reactions
9 Replies
17 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
24 Reactions
154 Replies
10K Views
Na Mwandishi Wetu NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga...
3 Reactions
46 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,881
Posts
49,558,164
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom