Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa...
Habar za wakati huu wana jf,?
Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
Habari jf team.
Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.
Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji...
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja.
Kila kundi...
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918.
Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi.
Je tungetumia lugha...
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.