Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri...
Habari wakuu,hebu wale wazoefu wa kuchukua vyombo vya moto hivyo kwenye heading mtujuze machimbo bora
Maana sehemu zingine mikataba yao inatunyonya saana mpaka jasho zinavuja pia tujuzane...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Utangulizi:
Katika ulimwengu uliounganishwa, mawasiliano bora ni muhimu kwa ajili ya kukuza mahusiano ya kimataifa na kukuza fursa za maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kielimu, afya, teknolojia...
UTANGULIZI
Urithi wa Jeshi la Polisi wa kikoloni umekuwa na athari kubwa katika utendaji na muundo wa jeshi la polisi la Tanzania. Wakoloni walianzisha mtindo wa polisi ambao uliundwa kwa misingi...
Heshima kwenu wana jamii....
Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?
1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.