Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini wakuu, Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu...
16 Reactions
379 Replies
8K Views
Salaam, Wakuu cheo cha kuingilia jf ni ‘new member ‘ Sasa mm napigwa danadana , mara senior mara jf-expert, ipi ni ipi? Mwenye kujua mpangilio anijuze, halafu kuna hawa wenye blue tick?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
12 Reactions
103 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi, Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? Juzi juzi nimeugua...
2 Reactions
9 Replies
323 Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
3 Reactions
35 Replies
278 Views
daaah wakuu kuna mtu kanifuata inbox kaniambia ni HR wa kampuni mpya ya kutengeneza juice ipo chalinze akaniambia nimtumie vyeti nikamtumia, akaniambia kwenye vyeti vyangu kuna sehemu ambapo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Yawatu wa jf wanaoninyanyasa na wenye masimango. https://youtu.be/Iw4t70zCf7s?si=w3y67nGwuWrbpa0q
0 Reactions
7 Replies
282 Views
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo...
1 Reactions
16 Replies
175 Views
Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka...
8 Reactions
3K Replies
728K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,449
Posts
49,574,974
Members
667,954
Latest member
Nyamilama Jr
Back
Top Bottom