Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta arejea Mitandaoni kwa akaunti mpya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,403
8,181
1669699889213.png

Kiongozi huyo amerudi kwa kufungua akaunti mpya kwa jina la @4thPresidentKE, ambayo inapatikana kwenye majukwaa ya #Facebook na Twitter.

Kenyatta alijiondoa mitandaoni Machi 2019 kwa kilichoelezwa kuwa ni Unyanyasaji wa Kimtandao kutokana na kushambuliwa na wafuasi wake.

Novemba 2020, Uhuru alikiri kuwa mwathirika wa Unyanyasaji wa Kimtandao kwa kusema "Niliondoka #Twitter na mitandao mingine ya kijamii kwa sababu niliona imejaa matusi na hakuna kitu cha kujenga".

=================

Former President Uhuru Kenyatta is back on social media after his sudden exit three years ago.

Mr Kenyatta is now back on an official account @4thPresidentKE, which is now available on both Facebook and Twitter platforms.

In March 2019, Mr Kenyatta's Twitter and Facebook pages were abruptly deactivated in what his then Chief of staff Nzioka Waita claimed was to allow for the remedial recovery measures to be undertaken.

“On account of unauthorized access to the official social media handles of H.E the President of the Republic of Kenya, Uhuru Kenyatta, all official social media handles for the President have been temporarily suspended to allow for the necessary remedial measures to be undertaken,” Mr Waita said.

Even so, in November 2020, Uhuru opened up about his social media exit, noting that trolls had forced him out.

Mr Kenyatta was also a victim of online bullies.

“You see I left Twitter and other social media sites because I saw they are full of insults and nothing constructive. You sit there reading the comments instead of sleeping. ‘Oh, what have they said?” he said.

“They make calls asking people to see how the trolls have attacked. I would rather sleep or talk to my wife,” he added.

NATION
 
Back
Top Bottom